Wanaotaka kujiunga na elimu ya juu hakuna bahati
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Profesa Charles Kihampa, amewataka wahitimu wanaohitaji kutuma maombi kwa ajili ya kujiunga na Vyuo vya Elimu ya Juu, kuzingatia umakini katika uombaji kwa sababu hakuna kubahatisha.