JPM atangaza siku 3 za maombolezo, amuagiza PM Rais Dkt John Magufuli amemtuma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, kumwakilisha katika mazishi ya marehemu wa ajali ya moto iliyotokea mapema jana ikihusisha lori. Read more about JPM atangaza siku 3 za maombolezo, amuagiza PM