Serikali yadai Watanzania hawapendi kula nyama
Katibu Mkuu wa Wizara ra Mifugo na Uvuvi, Dkt. Elisante Ole Gabriel amesema kila Mtanzania anatakiwa kula kilo 50 za nyama kwa mwaka ili kuwafanya wawe na afya bora, pamoja na kuwataka Watanzania kuongeza zaidi suala la ulaji wa nyama.