Davido awaburuza tena wasanii wa Afrika Jarida la Instagram Rich List 2019, limetoa orodha ya watu 100 ambao wanaingiza pesa nyingi kupitia matangazo ya biashara wanayopost kwenye kurasa zao za mtandao wa kijamii wa Instagram. Read more about Davido awaburuza tena wasanii wa Afrika