Muhimbili wabainisha hali ya Azim Dewji

Azim Dewji akiwa amelazwa

Msemaji wa Hosptali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha mifupa( MOI) Patrick Mvungi, amethibitisha uwepo wa mfanyabiashara Azim Dewji katika hospitali hiyo ambapo kwa sasa anaendelea vizuri.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS