Mtatiro aanza kivingine Tunduru Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro, amewakaribisha wawekezaji nchi nzima kujitokeza kuwekeza wilayani Tunduru, akisema kuwa Wilaya yake imetenga kiasi kikubwa cha ardhi kwa uwekezaji. Read more about Mtatiro aanza kivingine Tunduru