Tanga : Mmoja afariki Dunia kwa ajali ya boti
Saa kadhaa baada ya kutokea kwa ajali ya boti iliyohusisha wafanyakazi 11 wa Benki ya NMB Korogwe, iliyopata dhoruba na kupinduka majini ambapo awali walifanikiwa kuokolewa watu 10, Jeshi la polisi limethibitisha kufariki Dunia kwa mtu mmoja.