Bilionea Jack Ma aondoka Alibaba Jack Ma Bilionea kutoka China na Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Alibaba, Jack Ma, ametangaza kustaafu majukumu yake kwenye kampuni ya Alibaba ambayo alianzisha yeye na wenzake 18 miaka 20 iliyopita. Read more about Bilionea Jack Ma aondoka Alibaba