Amber Lulu ataja wasanii ambao sio 'Type' yake Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Amber Lulu, ametaja list ya wasanii ambao amadai hawezi kutoka nao kimapenzi kwa namna yeyote ile. Read more about Amber Lulu ataja wasanii ambao sio 'Type' yake