Lindi : Aliyembaka mtoto wa miaka 10 ahukumiwa Mahakama ya Wilaya ya Lindi imemuhukumu bwana Issa Seif Mpanyanje (51) kifungo cha miaka (30) gerezani, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto wa miaka kumi. Read more about Lindi : Aliyembaka mtoto wa miaka 10 ahukumiwa