Benki Kuu yazipiga faini benki 5

Benki Kuu ya Tanzania imezitoza faini benki tano za biashara kwa kwenda kinyume na Kuzuia Utakatishwaji wa Fedha Haramu za ya mwaka 2012, ambapo wameshindwa kuhakiki taarifa za utambulisho wa wateja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS