TAKUKURU kuchunguza mradi unaomlaza Makonda 'Site'
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Ilala, imesema kuwa iko mbioni kukamilisha ufuatiliaji wa uchunguzi wa miradi miwili, ikiwemo ujenzi wa machinjio ya kisasa ya Vingunguti unaogharimu kiasi cha Shilingi bilioni 12,pamoja na soko la Kisutu.

