Shilole amtaka Mwijaku apunguze Spidi
Msanii wa Muziki wa BongoFleva Shilole, amesema akikutana na muigizaji Mwijaku, kitu pekee atakachomshauri ni muigizaji huyo awe makini katika mambo anayoyafanya, kwa kuwa yeye sasa ni mume wa mtu na na anafamilia inayomtazama.

