Mawaziri wa SADC kuujadili kuhusu Ukimwi
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Mawaziri wa Sekta ya Afya na UKIMWI, kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC),unaotarajiwa kufanyika nchini kuanzia Novemba 04 hadi 08, 2019, katika Ukumbi wa Mikutano wa
