'Siasa za kuabudu watu ni ushirikina' -Dkt Bashiru
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt Bashiru Ally, amewataka wanachama wa chama hicho kuacha siasa za kuabudu watu badala ya chama, kwani kufanya hivyo ni kutekeleza siasa za kishirikina.

