Walichozungumza makocha na manahodha Simba, Yanga Mkutano wa Simba, Yanga na wanahabari kuelekea mechi yao Kuelekea mchezo wa 'Watani wa Jadi' Simba na Yanga kesho Januari 4, leo umefanyika mkutano wa makocha pamoja na manahodha wa timu zote mbili kuelezea maandalizi yao. Read more about Walichozungumza makocha na manahodha Simba, Yanga