Nyalandu apenya CHADEMA kwa ushindi wa asilimia 66

Lazaro Nyalandu, Mwenyekiti Kanda ya Kati,CHADEMA.

Lazaro Nyalandu aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida Kaskazini kupitia CCM, leo Desemba 1, 2019, katika uchaguzi uliofanyika Jijini Dodoma, hatimae amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Kati kwa kupata Kura 60 kati ya 86 zilizopigwa na kufanya ushindi wake kuwa ni wa asilimia 66.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS