'Ebitoke ukitaka msaada kupigana njoo' - Shishi
Msanii na mfanyabiashara Zuwena Mohammed "Shilole" amesema ana uwezo wa kupigana kuliko mchekeshaji Ebitoke, na ikitokea kama Ebitoke anashida yoyote ya kupigana na mtu basi Shilole yupo tayari kujitolea kupigana.