Neno la Billnass kuhusu picha za Nandy na Dimpoz

kushoto ni Billnass, kulia ni Ommy Dimpoz akiwa na Nandy katika moja ya picha iliyozua gumzo

Msanii Billnass amesema hana lolote la kuongea baada ya kuona picha tata za Nandy akiwa na Ommy Dimpoz ambazo walipiga wakati wanashoot video ya wimbo wao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS