Nesi ampa Mgonjwa dawa tofauti na maelekezo ya Dkt
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Faustine Ndugulile, amemuagiza Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt Atupele Mwandiga, kuhakikisha anapata taarifa ya utoaji wa dawa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo.
