Ni majonzi, Mama wa Erick Kabendera afariki Dunia
Mama Mzazi wa Mwandishi wa Habari za Uchunguzi, Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi, amefariki Dunia leo Disemba 31, 2019, katika Hospitali ya Amana Jijini Dar es Salaam, alipokuwa akipatiwa matibabu.