Simba yafungua ofisi mpya Dar Ofisi mpya ya Simba SC Klabu ya Simba, leo Alhamisi, Disemba 19, 2019 imefungua ofisi mpya ya uendeshaji wa shughuli za kila siku za klabu hiyo Jijini Dar es Salaam maalum kama (Simba Corporate). Read more about Simba yafungua ofisi mpya Dar