"Manesi wapunguze kuchamba" - Miss Bella Picha ya Miss Bella Msanii kutoka kundi la Scorpion girls, Miss Bella, amedai kuwa madaktari wa hospitali za Serikali wapunguze kuchamba na ukali wa maneno, wakati wanatoa huduma kwa wagonjwa wao. Read more about "Manesi wapunguze kuchamba" - Miss Bella