Trump ajivunia miaka 100 ya uongozi wake Rais wa Marekani, Donald Trump ameadhimisha siku ya 100 ya muhula wake wa pili ofisini na hotuba ya mtindo wa kampeni, akishabikia mafanikio yake na kulenga maadui wa kisiasa. Read more about Trump ajivunia miaka 100 ya uongozi wake