Fahamu aliyeacha wajukuu zaidi ya 300 alivyozikwa
Mzee Meshuku Mapi aliyeaga Dunia kutokana na maradhi ya uzee akiwa wa umri wa miaka 107, wake wanane watoto zaidi ya 50 na wajukuu zaidi ya 300, amezikwa katika viwanja vya Boma lake, ambapo baadhi ya waombolezaji wamemuelezea Mzee Meshuku kama shujaa wa maendeleo.