Nugaz ataja mbinu ya kocha wa Yanga kutoa mazoezi
Afisa Mhamasishaji na Msemaji wa klabu ya Yanga, Antonio Nugaz ametaja njia inayotumika na kocha wa klabu hiyo, Luc Eymael katika kutoa mpangilio wa mazoezi pamoja na ufuatiliaji wa wachezaji katika kipindi hiki cha janga la Corona.