"Nitakuwa kama Q Chief" - Dully Sykes Dully Sykes kushoto, kulia ni Q Chief Muasisi wa muziki wa BongoFleva Dully Sykes, amefunguka mambo mawili ambayo ni mipango yake ya kufunga ndoa na kuhama kwa wasanii ambao aliwahi kuwasaidia katika muziki. Read more about "Nitakuwa kama Q Chief" - Dully Sykes