Mhandisi ajinyonga, Serikali kusimamia mazishi
Mkuu wa wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, John Palingo (55) amesema kuwa Serikali itasimamia taratibu za mazishi ya mtumishi wa mamlaka ya maji wilayani humo, Steveni Florian aliyefariki kwa kujinyonga wilayani Mufindi mkoani Iringa.