Mbunge mmoja wa Tanzania akutwa na Corona
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa mmoja wa Wabunge wa Bunge hilo amethibitika kuwa ana maambukizi ya Virusi vya Corona na kueleza kuwa Mbunge huyo alisafiri kwenda Dar es Salaam siku za hivi karibuni.