55 wakamatwa kwa kuhudhuria ibada Kanisani Kenya

Baadhi ya waumini waliokamatwa

Watu hamsini na tano (55) wamekamatwa na polisi Jumapili, Aprili 19 katika Kaunti ya Trans Nzoia nchini Kenya kwa kukiuka marufuku ya mikusanyiko ya Wizara ya Afya iliyotangazwa ili kujikinga na kuenea kwa COVID-19.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS