JPM asema DSM haitafungwa, azishangaa mashine
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amesema kuwa haitatokea hata siku moja Mkoa wa Dar es Salaam, ukafungwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona, kwa kuwa ndiyo kitovu cha mapato ya Taifa.