BMT yatoa masharti kwa michezo yote nchini
Katika taarifa iliyotolewa kupitia kwa Katibu Mkuu, Neema Yotham imesema kuwa BMT imetoa taarifa kwa michezo mingine kuwasilisha taarifa kuhusu programu zao za kurejea zikieleza watazifanya lini na kwa utaratibu gani.