CHADEMA wadai Mbowe anakandamizwa
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa CHADEMA Tumaini Makene, amesema kuwa licha ya kwamba Mwenyekiti wa chama hicho kushambuliwa na kuumizwa lakini bado ameendelea kukandamizwa kutokana na baadhi ya taarifa ambazo zinatolewa kuwa ni za makisio na si zile zinazotokana na uchunguzi.

