Wizara yazuia maiti kuzikwa usiku Usiku Wizara ya Afya imesema hakuna haja ya maiti iliyofariki kwa Ugonjwa wowote ule kuzikwa gizani, na kuwaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuzishirikisha familia na kufuata taratiobu zote za utu. Read more about Wizara yazuia maiti kuzikwa usiku