Alichokisema Rais Magufuli kuhusu ugonjwa wa Zika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amesema kuwa mara baada ya yeye kuingia madarakani walitokea watu na kumtuma Mgogo aje kuzusha kwamba, Tanzania ina ugonjwa wa Zika na ndipo alipoamua kumfukuza kazi kwa upotoshaji huo, kwa kuwa ugonjwa huo haujawahi kuwepo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS