Bundesliga yaruhusiwa, fahamu mwenendo wa ligi

Wachezaji wa timu tofauti tofauti za Bundesliga. Kwenye picha ndogo ni Kansela wa Ujerumani Angela Merkel.

Leo Mei 6, 2020 imetoka taarifa ya serikali ya Ujerumani kuruhusu kurejea kwa ligi kuu nchini humo, kunzia Mei 22, 2020.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS