Kesi ya Lissu kuendelea Septemba 15,2025 Katika hatua ya kesho, Mahakama Kuu inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo kuhusu hoja ya awali iliyowasilishwa na Lissu, akiiomba Mahakama iitupilie mbali kesi hiyo na kumuachia huru mara moja. Read more about Kesi ya Lissu kuendelea Septemba 15,2025