Gwaride la M23 lawatia wasiwasi wakazi nchini DRC

Siku ya Jumapili, waasi hao walifanya gwaride la askari wapya zaidi ya 7,000 huko Goma, kituo cha kikanda. M23 walisema walioajiriwa ni pamoja na wanajeshi wa Kongo waliojisalimisha wakati mapigano yalipozidi mwaka huu na wanamgambo wa eneo hilo waliopigana nao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS