Leo ni siku ya Kuwaheshimu Mashujaa wa Chakula Tanzania inaadhimisha Nane Nane, siku maalum ya wakulima, kwa kuwatambua na kuwapongeza kwa mchango wao mkubwa katika uchumi wa taifa na maisha ya kila Mtanzania. Read more about Leo ni siku ya Kuwaheshimu Mashujaa wa Chakula