Rais Samia awasili Uingereza. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu amewasili London nchini Uingereza kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza. Read more about Rais Samia awasili Uingereza.