Ajali ya gari yaua 5 Arusha Waliofariki katika ajali hiyo ni wanaume watatu na wanawake wawili, huku majeruhi akiwa ni mwanamke ambao wote walikuwa ni abiria katika gari ndogo. Read more about Ajali ya gari yaua 5 Arusha