Binti wa R Kelly afichua madudu ya baba yake Picha ya R Kelly na binti yake Buku Abi Binti wa staa wa RnB R Kelly, Buku Abi anasema yeye pia ni muathirika wa unyanyasaji wa kingono na jinsia aliofanyiwa na baba yake huyo wakati akiwa na umri mdogo. Read more about Binti wa R Kelly afichua madudu ya baba yake