Shughuli za utamaduni zitumike kama Ajira
Waziri wa Mali Asili na Utali Dkt. Pindi chana amewataka wananchi kutumia urithi wa mila na tamaduni zetu kama chanzo cha mapato ambapo amewataka watu kujiunga katika vikundi vidogo vya ngoma ambavyo vitaweza kutoa burudani ya mziki wa zamani na wa asili.