Wanaofundisha Kiswahili kopeni kama wasanii
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amewataka Wamiliki na Wadau wa Vituo vya kufundishia Kiswahili Nchini kuchangamkia fursa ya kukopa fedha kwa riba nafuu kutoka Mfuko wa Utamaduni na Sanaa kama ambavyo Wasanii wa Bongofleva na Waigizaji wanavyokopa