CHADEMA wahamasisha wananchi kujiandikisha kupiga
Katibu mkuu chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika amewahimiza wananchi na wafuasi wa chama hichi kuhakikisha wanajiandikisha kwa ajili ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji.