Auwawa akisuluhisha ugomvi wa mapenzi
Mwananchi mmoja aliyefahamika kwa jina la Akwii ambaye ni mlinzi na mkazi wa Kimandolu mkoani Arusha ameuwawa kwa kupigwa na kitu kizuto kilichodhaniwa kuwa nondo mara baada ya kuingilia ugomvi wa mtu na mpenzi wake akitaka kusuluhisha.