SAMIA KAGERA CUP, kuhamasisha Uchaguzi
Mashindano ya SAMIA KAGERA CUP leo yamezinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwasa kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba ambapo mchezo wa ufunguzi wa mashindano hayo ni kati ya Bukoba Manispaa dhidi ya Muleba.