Picha ya Bella Shmurda kushoto na Olamide upande wa kulia.
“Hata watoto wangu wakiniuliza ni nani aliyenisaidia, nitamtaja Olamide kwanza kabla sijamtaja mama yangu.Olamide ni namba 1 kuliko mtu yeyote”.
Bella Shmurda ambaye anafahamika kwa jina lingine la mtoto wa kwanza wa Olamide tayari ameshafanya nyimbo mbili na Olamide ambazo ni Vision 2020 na Triumphant.
Unaweza kumtupa mzazi wako mbele ya mtu baki kwa msaada aliyekupa?