Kulia picha ya Davido kulia na Burna Boy kushoto
Burna Boy na Davido wametoka patupu licha ya kuwa wasanii wa Africa waliotajwa kwenye category ya tuzo za Grammy 2024.
BurnaBoy ametajwa katika vipengele vinne ambavyo ni Global Music Album, African Music Performance, Global Music Performance na Melodic Rap Performance.
Na Davido alikuwa katika vipengele vitatu Global Music Album, African Music Performance, Global Music Performance.