Master J ndani ya Planet Bongo East Africa Radio.
Zaidi tazama hapa kwenye video Master J akizungumzia hilo.
Kuhusu uwezo Alikiba na Diamond Platnumz Producer Master J anasema “Alikiba ni muimbaji bora na Diamond ni mburudishaji bora. Watu wabishe vile wanataka ila mimi ndio nimeongea kwenye Mic kabisa. Kuna kuimba na ku-entertain".
Master J ndani ya Planet Bongo East Africa Radio.
Zaidi tazama hapa kwenye video Master J akizungumzia hilo.